Press Contact

SISU News Center, Office of Communications and Public Affairs

Tel : +86 (21) 3537 2378

Baruapepe : news@shisu.edu.cn

Anuani :550 Dalian Road (W), Shanghai 200083, China

Soma Zaidi

Kongamano la Maadhimisho ya miaka 70 ya SISU lilifanyika Songjiang


12 December 2019 | By 斯瓦希里语(sw) | SISU

Tarehe 7 hadi 8, mwezi wa 12, Kongamano la “Ujenzi wa Vyuo na jumuiya ya mustakabali wa pamoja ya binadamu: Semina ya Ujenzi wa Taaluma za Vyuo vya Kimataifa na Maadhimisho ya Miaka 70 ya SISU” lilifanyika katika Ukumbi wa Elimu hapo kampasi ya Songjiang.

Katika kongamano hili, naibu waziri wa Wizara ya Elimu Bw. Weng Tiehui alipongeza SISU na kutoa hotuba kuhusu mpango na jukumu za vyuo vya China. Alisema kuwa siku hizi vyuo vinatakiwa kwenda mbele zaidi, vinatakiwa kubeba jukumu zao za kuwaelimisha wananchi na kuwasiliana na wenzetu wa ng’ambo kwa kina, ili tuweze kukuza elimu wa China na hasa binadamu wote.

Naibu mwenyekiti wa Umoja wa Mataifa Melissa Fleming pia alitumia barua ya pongezi kwa SISU. Alisema kuwa SISU ni rafiki kubwa kwa Mamlaka ya Vyombo vya Habari ya Umoja wa Kimataifa. Kwa sababu ya michango ya SISU, gazeti la chapa ya Kichina kama vile Tarihi za Umoja wa Mataifa linaweza kuchapishwa. Mwaka huu ni mwaka wa 6 wa ushirikiano baina ya SISU na UN, anatumai watapata mafanikio makubwa zaidi katika siku za baadaye.

Zaidi ya hayo, kuna wakuu na wataalamu wengine wengi wanaotoka China na Nchi za nje waliohudhuria kongamano hilo. Wahitimu maarufu wa SISU walirudi na kutoa hotuba na utoaji mzuri vile vile.

Gawanya:

Press Contact

SISU News Center, Office of Communications and Public Affairs

Tel : +86 (21) 3537 2378

Baruapepe : news@shisu.edu.cn

Anuani :550 Dalian Road (W), Shanghai 200083, China

Soma Zaidi