Kuipa SISU Zawadi au Mchango

Chama cha Kuendeleza Elimu cha SISU

Fanaka za SISU zinatokana na misaada na michango ya marafiki,  wanaohitimu wa chuo na watu wengineo. Michango yako itatumika kwenye mipango ya kawaida chuo na miradi ya tuzo na udhamini mbalimbali kwa wanafunzi, ili kukuza kiwango chetu cha mafunzo na utafiti. Tunakushukuruni sana kwa mkono wako wa ukarimu na kwa kutuunga mkono.

Baruapepe: fao@shisu.edu.cn

Kwa ajili ya kujua zaidi, tafadhali piga: +86 (21) 35372867

Gawanya: