VIPENGELE MUHIMU NA TAKWIMU

Jina: Chuo Kikuu cha Taaluma za Kimataifa Shanghai SISU (上 外)

Wito: Uadilifu, uaminifu, maono ya hekima na elimu pana

Kuanzilishwa: Desemba 1949

Mkuu wa kwanza: Jiang Yufang

Mwanzilishi: Jiang Chunfang

Mkuu wa Halmashauri: Li Yansong

Mhadhili Mkuu wa sasa (Rais): LI Yansong

 

MPANGILIO WA MASOMO

Kozi zinafundishwa kwa lugha 39

Kozi 45 za shahada ya kwanza

Kozi 51 za shahada ya pili (uzamili)

Miradi 22 ya uzamifu - PhD

Miradi 2 ya uzamifu baada ya PhD (postdoctoral)

 

UTAFITI WA CHUO KIKUU

Taasisi 6 muhimu kitaifa za utafiti

Taasisi na idara zaidi ya 70 za utafiti

Toleo 13 za majarida ya taaluma (yakiwemo majarida msingi ya CSSCI)

Vikundi 61 vinavyoshirikiana katika tafiti mbalimbali.

 

USAJILI WA WANAFUNZI

Wanafunzi 5,990 wa shahada ya kwanza

Wanafunzi 3,229 shahada ya pili na zaidi

Wanafunzi 4,557 wa kimataifa

 

VITIVO NA WAFANYIKAZI

Wafanyikazi 1,332 wa kitivo (wakiwemo wahadhiri/waalimu 791)

Wahadhiri wa kutembelea zaidi ya 150

 

HALI NA MALI YA CHUO KIKUU

Matawi 2 yaliyo na ekari 184.6

Mkusanyiko wa vitabu 948,200 katika maktaba

Rasilimali za kielektroniki 29,590GB vitabu (vitabumeme) na majarika ya elektroniki.

Maabara 16 ya taalamu anuwai

 

TUZO ZA CHUO KIKUU

Nambari 94 QS BRICS (2017)

Nambari 94 katika QS BRICS (2017)

Nambari 27 katika ARWU China - Kufundisha na Kujifunza (2015)

Nambari 6 katika orodha ya fidia ya kuhitimu - iPin.com (China, 2015)

# 6 katika Ajira ya Uzamili na Mishahara - iPin.com (China, 2015)

*Habari hii ilitarajiwa kutimika tangu Desemba 31, 2018.

Gawanya: