Taasisi na Idara
Chuo Kikuu cha Taaluma za Kimataifa cha Shanghai kinawahimiza walimu na wanafunzi kufanya utafiti kwa uhuru na uvumbuzi. Tuna taasisi na idara za utafiti wa taaluma zaidi ya kumi. Watafiti wetu wana bidii na hawasiti kuongoza katika taaluma zao. Zaidi ya hayo, ili kuendeleza ustadi wa mafunzo na kuzidisha maendeleo ya utafiti, idara nyingi zimeanzisha taasisi maalumu za taaluma husika.
Taasisi na Idara Muhimu |
Taasisi ya Kitaifa ya Taaluma za Wanadamu na Elimujamii Taasisi ya Mafunzo ya Mashariki ya Kati Taasisi ya Utafiti ya Tume ya Lugha Kitovu cha Utafiti wa Mikakati ya Lugha za Kigeni Taasisi ya Utafiti Iliyoundwa kwa Ushirikiano na Wizara ya Mambo ya Kigeni Taasisi ya Utafiti wa Marekebisho na Maendeleo baina ya China-Arabuni Kitovu cha Taaluma za Ushirikiano wa Kimataifa Taasisi ya Kitaifa ya Masomo ya Kikanda na Kitaifa Kituo cha Masomo ya Uingereza Kituo cha Masomo ya Umoja wa Ulaya Kituo cha Masomo ya Kirusi Taasisi ya Utafiti Iliyoundwa kwa Ushirikiano wa Kituo cha Habari cha Usimamizi wa Elimu cha Wizara ya Elimu Kituo cha Utafiti wa Teknolojia za Elimu za Kimataifa Taasisi ya Kitaifa ya Taaluma za Watu na Elimujamii Kituo cha Utafiti wa G20 Taasisi ya Taaluma za Uvumbuzi wa Elimujamii cha Shanghai Kituo cha Utafiti wa Diplomasia ya Kitamaduni Soft Power Kitovu cha Utafiti wa Utamaduni wa Kikanda Taasisi ya Utafiti Iliyoundwa kwa Usirika wa Kitovu cha Utafiti wa Maendeleo ya Manispaa ya Shanghai Kitovu cha Utafiti wa Sera za Tamaduni za Kimataifa Kitovu cha Utafiti wa Kijamii Shanghai, Tawi la SISU |