Majarida ya Taaluma

Chuo Kikuu cha Taaluma za Kimataifa cha Shanghai kinahariri na kuchapisha majarida 12 yanayohusu taaluma ambayo ni muhimu sana na bali na kusifika sana yanasomwa na kujadiliwa sana na wasomaji wake. Miongoni mwao ni, Jarida la Lugha za Kigeni (Journal of Foreign Languages), linalofadhiliwa na Shirika la Sayansi la Kitaifa, ambalo ni jarida la kipekee la masomo ya lugha kati ya "Majarida 30 ya Kisayansi na Kijamii" nchini China.

1

Jarida la Lugha za Kigeni

ISSN: 1004-5139

2

Ulimwengu wa Lugha za Kigeni

ISSN: 1004-5112

3

Elimu ya Lugha za Kigeni kwa Kutumia Kompyuta

ISSN: 1001-5795

4

Fasihi Linganishi nchini China

ISSN: 1006-6101

5

Marejeleo ya Kimataifa

ISSN: 1005-4812

6

Masomo ya Nchi za Kiarabu

ISSN: 1673-5161

7

Masomo ya Mashariki ya Kati na Uislamu (Barani Asia)

ISSN: 1937-0679

8

Masomo ya Fasihi za Uingereza na Marekani

ISBN: 7-81046-712-3

9

Tafsiri za Mashariki

ISSN: 1674-6686

10

Ufundishaji na Utahini wa Lugha za Kigeni

CN: 31-2047/G4

11

Sera ya Lugha na Elimu ya Lugha

ISBN: 9787100114851

12

Ufundishaji wa Kifaransa nchini China

ISBN:9787552010251

13

Masomo ya Kuzinduliwa Upya kwa Barabara ya Biashara ya Hariri

ISBN: 9787520109512

Gawanya: