Taasisi ya Confucius

Taasisi ya Confucius (孔子学院 ngzǐ xuéyuàn) ni shirika lisilo la serikali la elimu na ubadilishaji wa utamaduni, ambalo linatoka China na linalobeba majukumu ya kufundisha Kichina na utamaduni wa China duniani kote. Mpaka mwisho wa 2015, nchi na sehemu 134 za mabara matano makuu zimefikiwa na 500 yataasisi hizi , na kozi 1000 za Confucius.

SISU ni chuo kikuu cha ngazi ya juu ambacho kinajulikana kwa taaluma za tamaduni tofauti. Sasa tunashirikiana na vyuo vya kigeni na kuanzisha Taasisi 10 za Confucius katika nchi za ng’ambo: kutoka Asia hadi Afrika, ili kuwasiliana na tamaduni tofauti duniani. Hali kadhalika, SISU inatarajia kusukuma mbele mawasiliano ya tamaduni za dunia kwa kuchapisha vifaa vya masomo ya Kichina katika lugha za kigeni, ambavyo vinategemea shehena kubwa ya maarifa yetu ya kufunza na ya taaluma za lugha za kigeni.

A: Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Taaluma za Sehemu za Mashariki cha Napoli, Italia

B: Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Sangyo cha Osaka, Japani

C: Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Kikatoliki, Peru

D: Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Szeged, Hungaria

E: Taasisi ya Confucius ya Madrid, Uhispania

F: Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Hassan II-Casablanca, Moroko

G: Taasisi ya Confucius ya Samarkand, Uzibekistani

H: Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Waterloo, Kanada

I: Taasisi ya Confucius ya Chuo cha Uchumi wa Kimataifa cha Baruch-CUNY, Marekani

J: Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Aristotle, Ugiriki

Gawanya: