Press Contact

SISU News Center, Office of Communications and Public Affairs

Tel : +86 (21) 3537 2378

Baruapepe : news@shisu.edu.cn

Anuani :550 Dalian Road (W), Shanghai 200083, China

Soma Zaidi

Kongamano la CAAS la Awamu ya Kumi lafanyika katika SISU


17 November 2019 | By Najum | SISU

  • CAAS

  • CAAS

  • CAAS

  • CAAS

T

arehe 19 Okt, mwaka 2019, Kongamano la Mwungano wa Kimataifa wa Taaluma za Asia-Afrika (CAAS) la Awamu ya Kumi lilifanyika katika Chuo Kikuu cha Taaluma za Kimataifa cha Shanghai (SISU). Mada kuu ya kongamano ni "Usimulizi wa Utamaduni Katika Kipindi cha Utandawazi". Wataalumu zaidi ya thelethini kutoka vyuo vikuu vya mwungano huo walikutana hapa na kujadiliana kuhusu maswali muhususi kaitika taaluma za Asia-Afrika, ili wakuze ushirikiano na mawasiliano katika nyanja hizo. Kongamano hili pia ni mojawapo ya shughuli za kusherehekea adhimisho la miaka 70 la SISU.

Jiang Feng, Katibu wa Chama cha Kikomunisti wa SISU, alisema katika hotuba yake ya uzinduzi kuwa, akili za ulimwengu zinahitajika katika kipindi hicho cha utandawazi, na ujuzi unakutokana na ufahamu wa hali ya nchi mbalimbali. Pia alitoa mashauri na misheni ya SISU kwa wanafunzi wanaosoma shahada ya kidiplomasia na nyinginezo. Alisema kwamba misheni ya SISU inakubaliana sana na malengo ya CAAS.

CAAS ilianzishwa katika Machi, mwaka 2007. Inashughilika kuimarisha ushirikiano wa taaluma za kimataifa, na kuwakuza watu wenye uwezo katika utafiti wa Asia-Afrika. Mwungano huo una vyuo vikuu saba ndani, ambavyo vyenye uzito katika nyanja hizo. SISU ndiyo chuo kikuu kipekee nchini China cha kuingia mwungano wa CAAS.

Gawanya:

Press Contact

SISU News Center, Office of Communications and Public Affairs

Tel : +86 (21) 3537 2378

Baruapepe : news@shisu.edu.cn

Anuani :550 Dalian Road (W), Shanghai 200083, China

Soma Zaidi