Loading...
Soma Zaidi
Hadithi Yangu katika Amerika ya Kusini
Msemaji: Su Liying
Wakati: 20:00-21:00, tarehe 10 (Ijumaa), Juni, Mwaka 2022
Mahali: Tencent Meeting (ID: 916 909 629)
Mwandaaji: Kitivo cha Uhusiano wa Kimataifa na Shughuli za Umma
Lugha: Kichina
Utangulizi wa Msemaji:
Su Liying alihitimu kutoka SISU mwaka 2017 na kupata shahada ya pili ya Uchumi. Hadi sasa, amefanya kazi katika kampuni ya San Xia kwa miaka mitano (miaka mitatu katika nchi za nje). Mwaka 2018, alipelekwa nchini Peru. Mwanzoni mwa mwaka 2021, alikwenda kufanya kazi nchini Brazil.
Loading...