Loading...

Soma Zaidi

Chakula Kisitathminiwe kwa Sura Yake tu: Kuzungumza kuhusu Curry ya Kihindi


Msemaji: Gu Qingzi

Wakati: 19:30-20:30, tarehe 24 (Jumapili), Aprili

Mahali: Tencent Meeting (ID: 601-6788-2381)

Lugha: Kichina

 

Utangulizi

Curry ni chakula cha kigeni kinachojulikana na alama ya utamaduni wa Kihindi. Lakini asili ya neno la “curry” ni nini? Kwa nini Wahindi wanapenda kula curry? Kuna tofauti gani kati ya curry ya kihindi, ya kithailand na ya kijapani? Je, una majibu yoyote kwa maswali haya? Hotuba hii itaanza kutoka kwa biashara ya viungo vya kigeni, kuchunguza historia ya curry ya kihindi na kuchambua siri ambayo curry ya kihindi inawapendeza watu kwa picha na video mbalimbali. Hatimaye, kwa kuzingatia hali ya maendeleo ya vyakula vya Kihindi nchini China, nitazungumzia maoni kadhaa kuhusu mawasiliano ya kitamaduni kati ya China na India.

 

Utangulizi wa Msemaji

Gu Qingzi ni mwalimu wa Kihindi wa Chuo Kikuu cha Taaluma za Kimataifa cha Shanghai (SISU). Nyanja zake za utafiti ni pamoja na Utamaduni wa Kijamii wa Uhindi.

 

Gawanya:
Loading...

Soma Zaidi