Loading...

Soma Zaidi

Nguvu Nyepesi na Kipengele cha Utamaduni wa Kimarekani


 

Msemaji: Jin Hengshan

Tarehe: tarehe 21 Novemba, 2019 (Alhamisi)

Wakati: 13:00 – 14:30

Mahali: Chumba 5124, Jengo la Na. 5, Kampasi ya Songjiang

Mtengenezaji: Kitivo cha Kiingereza

Lugha: Kichina, Kiingereza

 

Yaliyomo

Athari ya utamaduni wa Kimarekani duniani ni jinsi nguvu yake nyepesi inavyoonyesha. Kitovu cha nguvu nyepesi ni uvutio. Pia inaonyesha athari ya mawazo ya thamani. Tunaweza kuichanganua kwa utamaduni na makabila, utamaduni na maendeleo ya historia na mawazo, utamaduni na tabia za serikali, mfumo wa utamaduni na uendeshaji wa soko. Kwa njia hizi, tutafahamu msingi wa maendeleo ya nguvu nyepesi ya kimarekani na madhara yake.

 

Hali ya Msemaji

Jin Hengshan

Alizaliwa mwaka wa 1963. Yeye ni profesa wa idara ya Kiingereza, kitivo cha lugha za kigeni, Chuo Kikuu cha Elimu cha China ya Mashariki. Pia ni daktari wa Fasihi ya Marekani wa Chuo Kikuu cha Beijing. Tena ni mwanachuoni ambaye atembelea Chuo Kikuu cha Duke cha Marekani. Tasnifu zake nyingi zimechapishwa katika majarida mengi maarufu, kama vile Udhihirifu wa Vita Baridi katika Skrini, Taswira ya Makabila katika Utafiti wa Fasihi ya Kimarekani na kadhalika.

Gawanya:
Loading...

Soma Zaidi