Choose your language
01 January 2022
19 December 2021
Safari ya Milimita Elfu Tisa ni kitabu kilichotungwa kwa watoto mwaka 2020 baada ya mlipuko wa virusi vya COVID-19 kwa madhumuni ya kuwajulisha watu jinsi ya kujikinga na virusi, kujitunza vizuri tulipokabiliana na janga hilo.
28 September 2021
Kufuatia kifo cha rais John Magufuli mnamo Machi 17, mwaka huu, Samia Suluhu Hassan akawa rais wa kwanza mwanamke wa Tanzania. Na serikali yake ya awamu ya sita itaendelea hadi mwaka 2025, yaani mwisho wa kipindi cha serikali ya sasa.
02 September 2021
Nchi za Afrika Mashariki zinakabiliwa na wimbi la tatu la COVID-19, miongoni mwao, hali ya janga la Tanzania inastahili kuzingatiwa.
06 August 2021
14 July 2021
Matini haya yanatumia mitazamo tofauti ya watu wa Tanzania Bara na Kisiwa cha Zanzibar kuelekea Siku ya Uhuru wa Tanzania kama msingi, ikielezea historia ya Tanganyika na Zanzibar kabla ya uhuru na muungano.
30 October 2020
16 November 2019
Nakala Fupi ya Mwanafunzi