Loading...

Soma Zaidi

Kustawi na kuonesha upya wa China – Semina ya Kimataifa ya Kiraia ya ASEAN


 

Tarehe: Novemba 09,2019(Jumamosi)

Saa: 9:30-18:00

Anuani: Chumba cha MBA cha kitovu cha mkutano, Kampasi ya Hongkou

Wadhamini: Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Taaluma ya Shanghai; Kituo cha ASEAN cha China

Mtengenezaji: Kitivo cha Taalama ya Asia na Afrika

Lugha: Kiingereza

 

Muhtasari:

        Mwaka wa 2019 ni maadhimisho ya miaka ya kumi na sita ya ushirikiano wa kimkakati wa China na ASEAN. Maana China na ASEAN kila mmoja ameingia hatua yao mpya ya maendelezo, uhusiano wa China-ASEAN unaingia enzi mpya. Septemba, 2013 mwenyekiti Xi wa China alitoa pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia moja”, na alitoa hotuba muhimu ya “Kujenga jamii ya China-ASEAN pamoja” katika bunge la Indonisia. Hivyo vyote viliweka kazi mpya na mahitaji mapya kwa mawasiliano ya kiraia kati ya China na ASEAN. Kuwasiliana na kujifundishana na vijana kutakuwa nguzo ya uhusiano wa China na ASEAN katika siku za mbele. Kwa hivyo huko ni msingi kwa China na ASEAN zinazojenga urafiki mkubwa zaidi. Katika hali hii, Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Taaluma ya Shanghai na Kituo cha China-ASEAN vitafanya pamoja “Kustawi na kuonesha upya wa China – Semina ya Kimataifa ya Kiraia ya ASEAN” Novemba 9,2019 katika chuo hicho.

 

Gawanya:
Loading...

Soma Zaidi