Loading...

Soma Zaidi

Njia za Utafiti wa Historia ya Utafsiri wa Mafundisho


Msemaji: Zhu Yifan

Tarehe: 21, Novemba, 2019 (Alhamisi)

Mahali: Chumba cha 155B, Jengo la Na. 5, Kampasi ya Songjiang

Lugha: Kichina

 

Ikisiri: Hakuna maelezo.

 

Wasifu wa mtoaji: Zhu Yifan, Dakta, Profesa, naibu mkurugenzi wa Idhara ya Utafsiri ya Kitivo cha Lugha za Kigeni cha Chuo Kikuu cha Usafirishaji wa Shanghai na Taasisi ya Taaluma za Utafsiri wa Baker. Katika miaka ya hivi karibuni, ameshughulika katika utofautishaji na utafsiri wa Kichina na Kiingereza, masomo ya tafsiri ya corpus, tafsiri na utafiti wa kitamaduni n.k. Alisimamia na kumaliza mradi mmoja wa Shirika la Utafiti wa Kijamii na Kisayansi la Kitaifa, na sasa anasimamia mradi mmoja wa Wizara ya Elimu.

Gawanya:
Loading...

Soma Zaidi